/
RSS Feed
Wachuruzi wanawake katika soko la Nyawera wanaelezea fahari yao kwa uhuru waliopatikana kwa kuendesha biashara zao ndogondogo. Kwao, kufanya hiyo KAZI huepuka kutegemea wengine kabisa na huongeza heshima.