/
RSS Feed
Ndugu msikilizaji mpendwa, Karibu Ku fwata jarida hii inayo zungumzia umuhimu wa mwanamke unao tokea kwakuji tegemea. Basi fwateni ushuuda n’a mashauri za binti wanao Fanya kazi kwenyi association Karibu Jeunesse Nouvelle « KJN ».
Kwenye utangazaji ni Arlette Birindwa Dorcas.